SERIKALI YAFUNGA VITUO BANDIA VYA AFYA

Katika juhudi za kulinda haki za wagonjwa na kuimarisha ubora wa huduma za matibabu, zaidi ya vituo vya afya 700 vinavyohuduma kinyume na sheria vimefungwa huku vingine 301 vikishushwa hadhi katika msako wa seikali.
Kulingana na waziri wa afya Aden Duale, hatua hizo zinalenga kurejesha imani ya umma katika huduma za afya, akiahidi mageuzi ya kidijitali ili kuboresha sekta ya afya.
Imetayrishwa na Antony Nyongesa