TALAAM KUSALIA NDANI KWA SIKU 15
Ocs wa kituo cha polisi cha central Samson Talam atasalia kizuizini kwa muda wa siku 15 ili kutoa nafasi ya kukamilishwa kwa uchunguzi katika kifo tata cha mwalimu Albert Ojwang.
Katika uamuzi uliotolewa na hakimu Benmark Ekhubi mahakama imeridhishwa na sababu zilizotolewa na upande wa mashtaka za kutaka azuiliwe.
Uamuzi huo umechochewa na hatua ya kuharibiwa kwa kamera za cctv katika afisi yake wakati kama njia moja ya kuharibu Ushahidi.
Imetayrishwa na Maureen Mukhobe
English 




















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































