#Local News

FAMILIA YA MWANGI ALIYEPIGWA RISASI YASHIKILIA TUMAINI

Familia ya mchuuzi Boniface Mwangi aliyepigwa risasi kwenye maandamano jijini Nairobi imeitaka serikali kuhakikisha mwanao anapata haki kwa kuwawajibisha maafisa wa polisi wanaodaiwa kumjeruhi mwanao aliyekuwa akiuza maski wakati wa maandamano hayo.

Mwangi aliyepata jeraha baya kichwani, amefanyiwa upasuaji wa pili katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta ili kuondoa mabaki ya risasi yaliyokwama kichwani, baada ya upasuaji wa kwanza wa ubongo.

Kwa sasa angali katika chumba cha wagonjwa mahututi.

Imetayrishwa na Antony Nyongesa

FAMILIA YA MWANGI ALIYEPIGWA RISASI YASHIKILIA TUMAINI

LAGAT AANDIKISHA TAARIFA NA IPOA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *