KINDIKI ASIFIA E-CITIZEN
Serikali imeweza kukabili ufisadi kupitia utoaji wa huduma zake kwenye mfumo wa Ecitizen kinyume na ilivyokuwa hapo awali.
Akiongea katika mkao unaofanyika hapa Nairobi wa baraza la mawaziri na wakuu wengine wa serikali naibu wa rais Kithure Kindiki anasema mfumo huo pia umesaidia kuongeza mapato ya serikali na kufanikisha huduma nyingine tofauti.
Imetayrishwa na Antony Nyongesa
English 




















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































