WETANG’ULA AHIMIZA KANISA KUOMBEA NCHI

Viongozi wa kisiasa wameshauriwa kujitenga na siasa za migawanyiko na badala yake kujihusisha na mijadala inayoweza kuchangia kuendelea kwa taifa.
Akizungumza katika kaunti ya Bungoma, spika wa bunge la kitaifa Moses Wetang’ula, amelitaka kanisa kuwa mstari wa mbele katika kuombea mshikamano wa taifa.
Imetayrishwa na Antony Nyongesa