LUSAKA ATIA SAINI BAGETI
Makadirio ya bajeti ya mwaka wa kifedha wa 2025-26 ya shilingi bilioni 15.9 katika kaunti ya Bungoma yameanza kutekelezwa, baada ya gavana Ken Lusaka kutia Saini rasmi kuwa sheria mswada wa makadirio hayo.
Akizungumza baada ya hafla hiyo, Lusaka ameweka wazi mpango anaosema utahakikisha usawa wa maendeleo katika maeneo yote ya kaunti hiyo, shilingi bilioni 10.86 ambazo ni sawa na asilimia 68 nya bajeti hiyo zikitengewa matumizi ya mara kwa mara.
Aidha, amesema serikali yake itafanya kila iwezo kuongeza ukusanyaji ushuru
Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































