GAVANA GUYO APUMUA
Gavana wa Isiolo Abdi Guyo ameponea shoka la kubanduliwa kutoka afisini baada ya seneti kutupilia mbali hoja ya kumbandua kwa misingi kwamba bunge la kaunti hiyo halikufuata mwongozo hitajika wa kujadili na kupigia kura hoja hiyo lililipombandua.
Kulingana na taarifa ya seneti, maseneta 31 walipinga uamuzi wa wawakiklishi wadi wa Isiolo kumbandua huku 18 pekee wakipiga kura ya kukubaliana na uamuzi huo.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 






































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































