#Local News

IDADI YA WALIOFARIKI TODONYANG HAIJABAINIKA

Serikali itabuni kundi maalum litakaloendeshwa uchunguzi kubaini idadi kamili ya watu waliofariki wakati wa uvamizi ulitokea katika eneo la Todonyang huko Turkana.

Akiongea baada ya mkao wa usalama huko Lodwar waziri wa usalama Kipchumba Murkomen anasema imekuwa vigumu kubaini idadi ya waliofariki katika tukio hilo la mwezi februari.

Anasema huenda kuna watu waliozama katika ziwa Turkana wakati wa uvamizi uliotekelezwa na makundi ya waasi kutoka taifa Jirani la Ethiopia.

Imetayarishwa na Maureen Mukhobe

IDADI YA WALIOFARIKI TODONYANG HAIJABAINIKA

OCHOLLA AFURAHISHWA NA KIKOSI CHAKE

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *