#Local News

WASHUKIWA WA WIZI WA UMEME KIRINYAGA WAKAMATWA

Washukiwa 5 wa wizi wa vifaa vya umeme wamekamatwa katika maeneo tofauti mjini Kagio kaunti ya Kirinyaga wakihusishwa pia na wizi wa umeme.

Tano hao wamenaswa kwenye oparesheni iliyoendeshwa na kundi la usalama la Kplc na kupatikana na vifaa vilivyokuwa vimeibwa ikiwemo mita za kuweka umeme.

Meneja wa tawi la Kirinyaga Mhandisi Ruto Kipkorir anasema tano hao wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha Kiamaciri.

Imetayarishwa na Maureen Mukhobe

WASHUKIWA WA WIZI WA UMEME KIRINYAGA WAKAMATWA

MCAS BUNGOMA WACHUNGUZWA NA EACC

WASHUKIWA WA WIZI WA UMEME KIRINYAGA WAKAMATWA

SHA KUSIMAMIA MATIBABU YA SARATANI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *