#Local News

WAATHIRIWA WA MAANDAMANO WANUSIA FIDIA

Rais William Ruto ametangaza mpango wa kuwafidia raia na maafisa wa usalama waliojeruhiwa wakati wa maandamano kuanzia mwaka wa 2017 hadi sasa.

Kupitia agizo la rais, Ruto amesema mpango huo unalenga kuleta usawa kuhusiana na uhuru wa kikatiba na majukumu ya raia, huku ikiangazia hasara ya kiuchumi inayosababishwa na maandamano ya kisiasa.

Mpango huo unaoongozwa na mshauri wake mkuu kuhusu masuala ya kikatiba Professa Makau Mutua, utadumu kwa kipindi cha siku 120.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WAATHIRIWA WA MAANDAMANO WANUSIA FIDIA

MJELEDI WA SHA WAANGUSHWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *