#Local News

KIGAME ATAZAMIA URAIS

Kinyang’anyiro cha urais kwenye uchaguzi mkuu ujao kimeendelea kushika kasi na kuwavutia wawaniaji mbali mbali, wa hivi punde akiwa ni mwimbaji wa nyimbo za injili Reuben Kigame.

Akitangaza kujitosa kwenye kinyang’anyiro hicho, Kigame aliyezuiwa kuwania kwenye uchaguzi mkuu uliopita, amesema atatota suluhu kwa matatizo yanayolikumba taifa kama vile ufisadi iwapo atachaguliwa kuwa rais.

Ameisuta serikali ya Kenya Kwanza kwa madai ya kushindwa kutekeleza ahadi ilizotoa kwa wakenya.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

KIGAME ATAZAMIA URAIS

SERIKALI YAAPA KUMWAJIBISHA GACHAGUA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *