#Local News

PSC KUWAHOJI WANACHAMA WA SRC

Mchakato wa kujaza nafasi za wanachama wa tume ya kuratibu mishahara ya wafanyakazi wa umma SRC unaendelea, tume ya huduma za umma PSC ikiwaorodhesha wawaniaji 9 watakaohojiwa kujaza nafasi hizo.

9 hao ni pamoja na Michael Kingi, Mary Seneta, Abdul Bahari, Richard Chacha, Zuleikha Juma na Teresiah Jesurah, PSC ikitoa wito kwa umma kuwasilisha taarifa muhumu kuwahusu.

Mahojianao hayo yatfanyika Ijumaa wiki ijayo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

PSC KUWAHOJI WANACHAMA WA SRC

WABUNGE WASIMAMA NA NG-CDF

PSC KUWAHOJI WANACHAMA WA SRC

MAREJEO YA FUJO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *