NITAVURUGA MIFUMOMKINICHAGUA, KIGAME
Uongozi wangu kama rais utakuwa wenye kuvuruga mifumo iliyoko ili kubadilisha jinsi siasa na uongozi unavyoendeshwa humu nchini.
Ni kauli ya mwaniaji wa urais kwenye uchaguzi mkuu ujao na mwimbaji Reuben Kigame, akizungumza kwenye mahojiano na wanahabari.
Kigame amesisitiza haja ya kuifanya elimu tena kama suala la kipaumbele, akirejelea enzi ya rais wa tatu Mwai Kibaki.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































