#Sports

FAINALI YA DALA SEVENS

Itakua ni weekend ya kusisimua kwa wapenzi wa raga huku Mzunguko wa Kitaifa wa Saba 2025 wa Dala Sevens ukibisha lango katika kauti ya kisumu katika Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Mamboleo, kuanzia Septemba 13-14.

Huku KCB RFC na Strathmore Leos zikiwa kwenye vita vikali vya kuwania taji la jumla, macho yote yataelekezwa Kisumu huku mkondo wa mwisho wa mzunguko ukiahidi mchezo wa halia yaa juu na mashabiki wenye hamu kubwa sana

Akizungumzia maandalizi hayo, Mwenyekiti wa Kisumu RFC, Gabriel Ouma, alionyesha kujiamini katika kutoa uzoefu wa kukumbukwa ndani na nje ya uwanja.

Mashindano ya mwaka huu yamepata msukumo kutoka kwa wadhamin  ambao  wamethibitisha Ksh. milioni 3 za udhamini kwa ajili ya kusaidia Dala Sevens.

KCB Rfc  inaongoza mzunguko huo kwa pointi 104 na inahitaji tu timu ya nusu-fainali ili kupata ubingwa, huku Strathmore Leos (pointi 95) watakuwa na matumaini makubwa katika fainali hii.

Imetayarishwa Nelson Andati

FAINALI YA DALA SEVENS

E-GP SI TAFADHALI, RUTO AONYA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *