SERIKALI YAWAONYA WAHADHIRI WANAOGOMA
Serikali imewataka wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma wanaogoma kwa wiki moja sasa kurejea kazini la sivyo wachukuliwe hatua za kinidhamu.
Waziri wa elimu Julius Ogamba, amesema mgomo huo ni ukiukaji wa amri ya mahakama iliyofutilia mbali, akiongeza kuwa tayari serikali imetoa shilingi bilioni 2.5 ili kutatua malalamishi yao.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 











































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































