#Business

MAZUNGUMZO YA MIKOPO YA IMF YAANZA

Uhaba wa fedha katika serikali kuu ili kufanikisha miradi mbali mbali kwa wakati unalifanya taifa kwa mara nyingine kugeukia Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa matumaini ya kufungua mpango mpya unaofadhiliwa na mkopeshaji huyo wa kimataifa.

Wafanyakazi wa IMF wanatarajiwa kuwasili nchini leo kwa mazungumzo na serikali ya sasa, ambayo yataendelea hadi Oktoba 9.

Wafanyakazi hao wanatarajiwa kukutana na maafisa wakuu wa serikali akiwemo Waziri wa fedha John Mbadi na Gavana wa Benki Kuu Kamau Thugge, ambaye amekuwa mtetezi mkuu wa mpango mpya unaoungwa mkono na IMF na kipengele cha kukopesha.

Imetayarishwa na Maurine Amwayi

MAZUNGUMZO YA MIKOPO YA IMF YAANZA

MWANGA WA USALAMA KERIO

MAZUNGUMZO YA MIKOPO YA IMF YAANZA

UBOVU WA BARABARA WAWAHAMISHA WAKAZI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *