#Local News

MWANASHERIA MKUU APEWA SIKU 14 KWENYE KESI YA BESSIGYE

Mahakama kuu imempa mwanasheria mkuu siku 14 za kuwasilisha tetesi zake kwenye kesi ambapo kiongozi wa upinzani nchini Uganda kanali mstaafu Kizza Besigye ameishtaki Kenya kutokana na kufurushwa kwake kutoka nchini.

Kesi hiyo imetajwa hii leo ambapo mwanasheria mkuu alikuwa ametarajiwa kuweka wazi kujitolea kwake kutoa ushirikiano kwenye kesi hiyo, ila wakili wake akasema kwamba hakuna majibu ambayo wamewasilisha.

Kwenye uamuzi wake, hakimu Lawrence Mugambi amempa siku 14 kufanya hivyo, akipinga ombi la siku 21.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MWANASHERIA MKUU APEWA SIKU 14 KWENYE KESI YA BESSIGYE

VIJANA WAJITOKEZA KUSAJILIWA NA IEBC

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *