#Local News

VIJANA WAJITOKEZA KUSAJILIWA NA IEBC

Usajili wa wapiga kura wapya umeanza rasmi kote nchini, muda mfupi baada ya mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC Erastus Ethekon kuzindua zoezi hilo katika eneo la Mashuru kaunti ya Kajiado.

Wengi wa vijana wa kizazi cha Gen Z wameapa kutumia kura hizo kuwaadhibu viongozi wanaozembea kazini.

Wakati uo huo, makundi ya vijana katika kaunti ya Mombasa yameanzisha juhudi za kuwahamasisha vijana kujiandikisha kwa wingi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

VIJANA WAJITOKEZA KUSAJILIWA NA IEBC

MWANASHERIA MKUU APEWA SIKU 14 KWENYE KESI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *