#Local News

SERIKALI: WAKENYA HAWATAATHIRIKA NA AGIZO LA BIASHARA TANZANIA

Wakenya wanaofanya biashara nchini Tanzania hawataathirika na agizo jipya la utoaji lililotolewa na serikali ya taifa hilo kuhusu utoaji wa leseni lililoonekana kuwazuia raia wa kigeni kujihusisha na baadhi ya biashara.

Kupitia taarifa, katibu mkuu katika wizara ya masuala ya Afrika Mashariki Dakta Caroline Karugu, amesema wamefanya mazungumzo na Tanzania ambayo imetoa hakikisho kuwa wakenya hawataathirika na agizo hilo.

Amewahimiza wakenya hao kuendelea na biashara zao, huku akiwataka kuwasiliana na ubalozi wa Kenya nchini Tanzania wanapokuwa na tatizo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SERIKALI: WAKENYA HAWATAATHIRIKA NA AGIZO LA BIASHARA TANZANIA

LAGAT APATA PIGO MAHAKAMANI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *