#Local News

KUPPET: MATATIZO YENU YANAISHA

Muungano wa walimu wa shule za upili na vyuo vya kadri KUPPET umewahakikishia walimu kuwa changamoto za mpango wao wa bima ya matibabu zitatuliwa hivi karibuni kutokana na shinikizo za muungano huo kwa serikali.

Mwenyekiti wa muungano huo Omboko Milemba, amesema kutatuliwa kwa changamoto hizo ni mwanzo wa kuilainisha sekta ya elimu ili kuimarisha utendakazi wa walimu.

Aidha, ameonyesha matumaini ya kufanikisha azma ya walimu wa shule za JSS kuwa huru kutoka chini ya wakuu wa shule za msingi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *