KENYA YAVUKA MIPAKA YA DENI
Serikali imekuwa ikikopa shilingi bilioni 5.9 kila wiki katika kipindi cha miezi 4 iliyopita, hatua inayoashiria ongezeko la utegemeaji wa mikopo ili kuziba mianya ya mapungufu ya bajeti.
Haya ni kwa mujibu wa takwimu za wizara ya fedha zilizowasilishwa bungeni, zinazoonyesha kuwa Kenya ilikopa shilingi bilioni 95.5 katika kipindi hicho.
Tayari Kenya imevuka kiwango hitajika cha deni cha asilimia 55 ya mapato, na kufikisha shilingi trilioni 11.81, ambazo ni sa wana asilimia 67.8
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 











































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































