#Local News

UJUMBE WA SIKU YA MAZINGIRA

Unahimizwa kuitembelea shule ya msingi iliyo karibu nawe na kupanda miche hii leo kwenye maadhimisho ya siku ya Mazingira, ili kuiwezesha serikali kufanikisha ajenda yake ya kupanda miche bilioni 15 kufikia mwaka 2032.

Kulingana na Waziri wa mazingira Deborah Mulongo, siku hii inalenga kuimarisha hulka ya kutunza mazingira, akisema serikali iko mbioni kufanikisha upanzi wa miche hiyo.

Amesema zaidi ya miche bilioni 1 imepandwa tangu uzinduzi wake.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

UJUMBE WA SIKU YA MAZINGIRA

MGOMO WA WAHADHIRI WAKOSA SULUHU

UJUMBE WA SIKU YA MAZINGIRA

IEBC YAKAMILISHA UIDHINISHAJI WAKE

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *