WAHADHIRI WASHIKILIA MGOMO UTAENDELEA
Mgomo wa wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma umeingia siku yake ya 29 hii leo huku wahadhiri hao wakishikilia kuwa wataendelea kugoma hadi serikali iwalipe shilingi bilioni 7.9 wanazodai
Haya yanajiri baada ya mazungumzo baina yao na wizara ya elimu kuendelea kukosa mwafaka, huku Waziri wa elimu Julius Ogamba akisema huenda suluhu ikapatikana baadaye wiki hii.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 










































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































