MGOMO WA WAHADHIRI WAFIKA MAHAKAMANI
Macho yote sasa yameelekezwa kwa mahakama kutoa mwelekeo kuhusu mgomo wa wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma ambao umedumu kwa mwezi mmoja sasa, baada ya kikao cha mazungumzo kati ya wahadhiri na serikali kufeli.
Katibu mkuu wa UASU Dakta Constantine Wasonga, ameilaumu serikali kwa madai ya kukwamisha utekelezaji wa mkataba wa maelewano wa mwaka wa 2017-21.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































