#Local News

ODM YASHINIKIZA KAHIGA AKAMATWE

Matamshi ya gavana wa Nyeri Mutahi Kahiga yaliyoonekana kusherehekea kifo cha Waziri mkuu wa zamani Raila Odinga yamechukua mkondo tofauti, chama cha ODM sasa kikitaka akamatwe kwa misingi kwamba matamshi hayo ni sawa na uchochezi wa kikabila.

Mwenyekiti wa chama hicho Gladys Wanga, na naibu kinara Simba Arati wamehofia uwezekano wa matamshi hayo kuvuruga mshikamano wa nchi, ingawa wakatoa wito kwa wanachama wa ODM kupuuzilia mbali matamshi hayo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

ODM YASHINIKIZA KAHIGA AKAMATWE

POLISI ‘WAHALIFU’ WAKAMATWA

ODM YASHINIKIZA KAHIGA AKAMATWE

UPDF YAKANA KUWAZUILIA NJAGI, OYOO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *