#Local News

WAHADHIRI WAKATAA KUSITISHA MGOMO

Wahadhiri katika chuo kikuu cha Moi mjini Eldoret wamesema wataendelea na mgomo hadi pale matakwa yao yatakapo tekelezwa.

Mgomo huo  sasa umekuwepo kwa zaidi ya siku 30 huku wanafunzi wakiendelea kusubiri kwa matumaini kuwa mgomo huo utafikia kikomo hivi karibuni.

Imetayarishwa na Jones Koikai

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *