#Local News

SERIKALI YATOA MALIPO YA INUA JAMII

Serikali imetoa jumla ya shilingi milioni 880,040,000 kama malipo kwa familia zilizo chini ya mpango wa Inua Jamii ambao ni mayatima na watu wengine walio na uhitaji wa hali ya juu.

Kupitia taraifa ya wizara ya jinsia na huduma za Watoto, malipo hayo ni ya mwezi wa Septemba, kila anayelangwa akiratibiwa kupokea shilingi 2,000.

Malipo hayo yameratibiwa kuanza kutolewa hii leo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SERIKALI YATOA MALIPO YA INUA JAMII

PVK YAPINGA MSWADA WA MAKANISA 2024

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *