#Local News

MITIHANI YA KPSEA, KJSEA WAANZA

Mamilioni ya watahiwa wa grade 6 na grade 9 wameratbiwa kuanza mitihani yao ya KPSEA na KJSEA asubuhi hii huku serikali ikitoa hakikisho kuwa mipango na mikakati yote ya kufanikisha mitihani hiyo imekamilika.

Mtihani wa KJSEA ambao ni wa grade 9 mwaka huu ni wa kwanza kabisa chini ya mtaala wa umilisi CBE.

Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amesema idara ya usalama iko macho kote nchini.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MITIHANI YA KPSEA, KJSEA WAANZA

ODM YAJIANDAA BILA ODINGA

MITIHANI YA KPSEA, KJSEA WAANZA

WETANG’ULA ATETEA SHERIA YA KOMPYUTA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *