#Football #Sports

HARRY KANE AVUTIWA NA BARCELONA

Ambapo mshambuliaji wa Bayern Munich, Harry Kane,
anaripotiwa kufikiria kujiunga na Barcelona msimu ujao.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza mwenye umri wa
miaka 32 ana kipengele cha kuachiliwa kwa euro milioni 65,
kitakachoanza kutumika majira ya kiangazi yajayo.
Wakati huo huo, Manchester United na Tottenham Hotspur
wanaripotiwa kumfuatilia kwa karibu beki wa Everton, Jarrad
Branthwaite,
ingawa klabu ya Goodison Park imesisitiza kuwa haitaki
kumuuza, ikimtathmini kwa takribani pauni milioni 70.
Tottenham na Chelsea nao wameripotiwa kuingia kwenye vita
vya kumsajili straika chipukizi wa Porto, Samu Aghehowa
mwenye umri wa miaka 21,
ambaye anaweza kugharimu hadi euro milioni 80.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

HARRY KANE AVUTIWA NA BARCELONA

GUARDIOLA  ALAUMU WAAMUZI WA EPL

HARRY KANE AVUTIWA NA BARCELONA

MATUKIO YA KCSE 2025

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *