#Local News

MBINU MBOVU ZA UKULIMA KIINI CHA VIFO ELGEYO MARAKWET, MURKOMEN

Ukataji miti kiholela na mbinu mbovu za ukulima ndicho chanzo cha maporomoko ya ardhi ambayo yamewaua watu 26 kufikia sasa mbali na uharibifu mkubwa katika eneo la Chesongoch kaunti ya Elgeyo Marakwet.

Haya ni kulingana na Waziri wa usalama wa kitaifa Kipchumba Murkomen ambaye ametaja mkasa huo kuwa wa kitaifa, akiwataka waathiriwa kuhamia maeneo yaliyotajwa kuwa salama.

Juhudi za uokoaji na utoaji wa misaada zinaendelea.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MBINU MBOVU ZA UKULIMA KIINI CHA VIFO ELGEYO MARAKWET, MURKOMEN

UKATILI WA MAFURIKO TRANS NZOIA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *