#Local News

OGAMBA AWARAI WAHADHIRI KUELEWA HALI

Huku shughuli za masomo zikilemazwa katika vyuo vikuu vya umma kwa siku 50 kutokana na mgomo wa wahadhiri, Waziri wa elimu Julius Ogamba ametoa wito kwa wahadhiri kukubali malipo kwa awamu 2 na kurejea kazini ili kuokoa hali vyuoni.

Kwa mujibu wa Ogamba, serikali kukubali kutoa malipo hayo japo kwa awamu hizo, ni ishara ya kujitolea kwake kutatua mgomo huo.

Wanafunzi wa vyuo vikuu nao wameendelea kushinikiza makubaliano.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

OGAMBA AWARAI WAHADHIRI KUELEWA HALI

UKATILI WA MAFURIKO TRANS NZOIA

OGAMBA AWARAI WAHADHIRI KUELEWA HALI

IPOA YACHUNGUZA KIFO KITUO CHA POLISI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *