#Local News

WAHADHIRI WALEGEZA MSIMAMO, ILA…

Wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma wako tayari kusitisha mgomo wao wa siku 49 na kurejea kazini iwapo serikali itawalipa asilimia 80 ya pesa wanazodai kwenye mkataba wa maelewano wa mwaka 2017-21.

Mbele ya kamati ya elimu katika bunge la kitaifa, viongozi wa miungano ya UASU na KUSU wamepinga pendekezo la serikali kuwalipa fedha hizo kwa awamu 2 za asilimia 50 kwa 50.

Waziri wa elimu Julius Ogamba na mwenzake wa fedha John Mbadi, nao wameiambia kamati hiyo kwamba uwezo wa serikali ni kulipa kwa awamu hizo 2.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WAHADHIRI WALEGEZA MSIMAMO, ILA…

WANASIASA, WAFUASI WAONYWA KABUCHAI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *