#Local News

SERIKALI KUPUNGUZA LISHE YA MIFUGO, KAGWE

Sekta ya kilimo inatarajiwa kuimarika chini ya mpango wa serikali wa kupunguza gharama ya vyakula vya mifugo kwa lengo la kuwasaida wakulima kuongeza uzalishaji.

Waziri wa kilimo Mutahi Kagwe, amefichua mpango huo anaosema utaboresha Maisha ya wakulima.

Alikuwa akihutubu katika eneo la Manyatta kaunti ya Kiambu.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SERIKALI KUPUNGUZA LISHE YA MIFUGO, KAGWE

UFADHILI MDOGO WAONGEZA MADAI YA FIDIA

SERIKALI KUPUNGUZA LISHE YA MIFUGO, KAGWE

SERIKALI YATHIBITISHA MAUAJI TANZANIA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *