#Local News

MUSYOKA KWA RUTO: NJOO ILA NI “WANTAM”

Wakazi wa eneo la Ukambani wametakiwa kumkaribisha Rais William Ruto wakati wa ziara yake eneo hilo kuanzia Jumatano wiki hii licha ya kuegemea mirengo tofauti ya kisiasa.

Akizungumza katika eneo la Lukenya kaunti ya Makueni, kinara wa Wiper Kalonzo Muysoka amesisitiza kuwa ni haki ya kila mkenya akiwemo rais kuzuru eneo lolote na taifa.

Amefichua kuwa pia anapanga kuzuru eneo la Rift Valley kusaka uungwaji mkono.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MUSYOKA KWA RUTO: NJOO ILA NI “WANTAM”

MAGENDO YA KAHAWA SIRISIA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *