#Local News

PVK YALALAMIKIA UKIUKAJI WA HAKI ZA WAKENYA

Muungano wa Pentecostal Voice of Kenya PVK umeitaka serikali kutenga eneo maalum kuwawezesha wakenya kupiga ripoti kuhusu wenzao waliojeruhiwa au kuuawa nchini Tanzania wakati wa machakafuko ya uchaguzi, kufuatia ripoti kuhusu kuhangaishwa kwa raia wa Kenya nchini humo.

Mwenyekiti wa PVK Apostle Peter Manyuru ambaye pia ni kiongozi wa kanisa la JTM, amelalamikia ukiukaji wa haki za wakenya katika mataifa ya nje, akiitaka serikali kuwalinda raia wake ndani na nje ya mipaka.

Ameitaka serikali kuweka wazi idadi ya wakenya waliouawa nchini Tanzania.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

PVK YALALAMIKIA UKIUKAJI WA HAKI ZA WAKENYA

SAMIA ASAKA SULUHU TANZANIA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *