RAIS RUTO AKATAA KUJIHUSISHA NA UCHAGUZI WA TANZANIA
Rais William Ruto amechagua kutojihusisha na uchaguzi uliokumbwa na utata nchini Tanzania ambao ulipelekea kuchaguliwa tena kwa rais Samia Suluhu huku maandamano makali yakishuhudiwa nchini humo.
Hata hivyo ametoa maoni kwamba kama demokrasia ingedumishwa, ushindi mkubwa wa samia haungeshuhudiwa
Rais Ruto hata hivyo amewataka viongozi kukumbatia demokrasia ili kuruhusu uwakilishi wa haki na sawa katika michakato ya uchaguzi, akisema kuwa ghasia haipaswi kuwa chaguo bora.
Imetayarishwa na Jones Koikai
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































