#Local News

SAMIA ASAKA SULUHU TANZANIA

Macho yameelekezwa kwa mrengo wa upinzani nchini Tanzania kuona iwapo utakubali wito wa serikali nchini humo kufanya mazungumzo kufuatia maafa makubwa ambayo yameshuhudiwa baada ya uchaguzi mkuu.

Katika kikao na wanahabari, makamu wa rais wa Tanzania Emmanuel Nchimbi amesema mazungumzo hayo yanelenga kuimarisha maridhiano na mshikamano wa taifa hilo.

Wito huu unajiri siku moja baada ya kukamatwa kwa katibu mkuu wa chama cha CHADEMA Amani Golugwa.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SAMIA ASAKA SULUHU TANZANIA

MURKOMEN: TOA HONGO UKAMATWE

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *