#Local News

WALIMU MAGHARIBI KUSUSIA KCSE KUFUATIA MAUAJI

Mtihani wa kitaifa wa kidato cha 4 KCSE unaingia wiki ya pili hii leo huku walimu kutoka eneo la Magharibi wakitishia kususia kusimamia mtihani huo kushinikiza uchunguzi katika mauaji ya mwalimu mkuu wa shule ya Munyuki Simon Isiaho.

Mwili wa mwalimu huyo aliyetoweka kwa siku 6, uliopolewa katika Mto Kipkaren ukiwa na majeraha na dalili za kuteswa kabla ya kuuawa.

Walimu hao wanailaumu idara ya DCI kwa madai ya kujikokota katika uchunguzi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *