#Local News

MAZISHI YA WALIO FARIKI KWENYE MAPOROMOKO YARATIBIWA KUFANYIKA 21 MWEZI HUU

Serikali imetangaza tarehe 21 mwezi huu kuwa siku ya mazishi kwa wale ambao miili yao imepatikana baada ya  maporomoko katika kaunti ya Elgeyo Marakwet huku familia ambazo hajizapata miili ya wapendwa bado zikihangaika.

Hata hivyo hali ya majonzi bado inawagubika wakazi wa Chesongoch, kaunti ya Elgeyo Marakwet ambao hadi sasa hawajawapata wapendwa wao baada ya mafuriko yalishuhudiwa kwenye kaunti hiyo wiki moja iliyopita.

Imetayarishwa na Jones Koikai

MAZISHI YA WALIO FARIKI KWENYE MAPOROMOKO YARATIBIWA KUFANYIKA 21 MWEZI HUU

TUME YA EACC NA WASHIKADAU WA UCHUNGUZI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *