TUME YA EACC NA WASHIKADAU WA UCHUNGUZI WA ULANGUZI WA PESA WAKUTANA JIJINI NAIROBI
Warsha ambayo inalenga kuimarisha ushirikiano na mikakati ya pamoja ya kukabiliana na ulanguzi wa fedha imefanyika hii leo jijini Nairobi.
Tume ya maadili na kupambana na ufisadi hapa nchini EACC, pamoja na washikadau wengine kutoka Afrika mashariki na kusini wa uchunguzi wa ulanguzi wa pesa wamekutana jijini Nairobi kwenye warsha ya kanda ya kushughulikia ulanguzi wa pesa na kurejesha mali ya umma iliyoibiwa.
Imetayarishwa na Jones Koikai
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































