#Local News

HALI DUNI YA HOSPITALI YA RUFAA YA KIAMBU

Baadhi ya akina mama wamekaa katika hospitali ya rufaa ya kaunti ya Kiambu kwa zaidi ya miezi 3 baada ya kujifungua kutokana na kushindwa kwao kulipia gharama za matibabu, huku hofu ikiibuka kuhusu gharama za matibabu ambazo hazijalipwa na ongezeko la mimba za utotoni kwenye hospitali hiyo.

Katika ziara ya ukaguzi, kamati ya afya katika bunge la seneti imesikitikia hali mbaya ya miundomsingi katika hospitali hiyo, mbali na mazingira duni kwa wagonjwa.

Richard Onyonka ni mwanachama wa kamati hiyo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

HALI DUNI YA HOSPITALI YA RUFAA YA KIAMBU

FAMILIA ZAACHIWA KUWASAKA WAPENDWA WAO

HALI DUNI YA HOSPITALI YA RUFAA YA KIAMBU

SERIKALI YASISITIZA UMEME UPO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *