#Local News

KENYA YAPUZILIA MBALI VITISHO VYA MUSEVENI

Wizara ya masuala ya kigeni nchini imepuzilia mbali vitisho vya rais wa Uganda Yoweri Museveni kuhusu nia yake ya kuinyakua bandari ya Mombasa na Bahari Hindi katika eneo la Kenya, ikisema Museveni ana ufahamu kuhusu sheria za kimataifa kuhusu mipaka ya mataifa.

Akijibu maswali ya wanahabari, katibu mkuu katika wizara hiyo Korir Sing’oei, ameshikilia kuwa kauli ya Musaveni haina uzito.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

KENYA YAPUZILIA MBALI VITISHO VYA MUSEVENI

WAKENYA 3 WAZUILIWA TANZANIA, MUDAVADI

KENYA YAPUZILIA MBALI VITISHO VYA MUSEVENI

RUTO AMWOMBOLEZA MBUNGE WA ISIOLO SOUTH

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *