#Local News

IEBC YATAKIWA “KUCHEZESHA” CHAGUZI KISHERIA

Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya chaguzi ndogo kufanyika katika baadhi ya maeneo nchini, tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC imetakiwa kuhakikisha uwazi, usawa na uhuru kwenye uchaguzi huo.

Wakizungumza kwenye kampeni katika wadi ya Kariobangi North, uongozi wa chama cha ODM ukiongozwa na mwenyekiti wa kitaifa Gladys Wanga, umeitaka tume hiyo kuhakikisha mwongozo unafuatwa katika kampeni za chaguzi hizo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

IEBC YATAKIWA “KUCHEZESHA” CHAGUZI KISHERIA

SERIKALI YACHUNGUZA UDUKUZI DHIDI YAKE

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *