#Local News

UMASKINI WAONGEZEKA KENYA- RIPOTI

Hali ya umaskini imeendelea kuongezeka nchini katika kipindi cha miaka 10 iliyopita, wakenya 125 pekee wakimiliki utajiri unaoweza kukidhi mahitaji ya wenzao milioni 42.

Katika ripoti yake, shirika la Oxfam limebaini pengo kubwa lililoko kati ya maskini na matajiri, wakenya milioni 7 wakijipata katika hali ya umaskini katika kipindi hicho.

Aidha, imebaini pengo katika sekta za elimu, ajira na afya.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

UMASKINI WAONGEZEKA KENYA- RIPOTI

BABAKE OJWANG’ ATAKA LAGAT AKAMATWE

UMASKINI WAONGEZEKA KENYA- RIPOTI

KENYA YATEULIWA KUWA MWENYEJI HSBC

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *