#Local News

RUTO ATASHINDA MSIPOREKEBISHA, VIJANA WAONYWA

Rais William Ruto atashinda uchaguzi mkuu ujao kwa kishindo iwapo vijana wataendelea kukosa kujitokeza kupiga kura jinsi ilivyoshuhudiwa kwenye chaguzi ndogo hapo jana.

Haya ni kwa mujibu wa washikadau katika sekta ya elimu wakiongozwa na Synthia Asienwa, wakihimiza haja ya uhamasisho kufanywa kuhusiana na umuhimu wa kushiriki uchaguzi.

Wamekuwa kwenye mahojiano na kituo kimoja cha runinga nchini.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RUTO ATASHINDA MSIPOREKEBISHA, VIJANA WAONYWA

KOMBE AREJESHWA MAMLAKANI MAGARINI 

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *