WIPER ‘YAMRUKA’ GACHAGUA
Tofauti za kisiasa zimeibuka kwenye muungano wa upinzani, kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka akipuzilia mbali madai ya mwenzake wa DCP Rigathi Gachagua kwamba Wiper itawaunga mkono wagombeaji wa DCP katika kaunti ya Nairobi kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Kwa mujibu wa Gachagua, wameafikiana na Musyoka kuwaondoa wagombeaji wa Wiper ili kuwapisha wa DCP kwenye uchaguzi huo.
Hata hivyo, Musyoka na wanachama wake wameyataja madai hayo kuwa propaganda.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































