#Local News

MAKABILIANO YA KISHERIA SENETI

Ubabe wa kisheria unatarajiwa hii leo katika bunge la seneti kwenye vikao vya kusikiliza na kuamua hoja ya kumbadua kutoka mamlakani gavana wa Nyamira Amos Nyaribo, mawakili wake wakikabiliana kisheria na wale wa bunge la kaunti hiyo.

Kwenye vikao hivyo, Nyaribo atapambana kuzuia kuwa gavana wa pili kubanduliwa tangu uchaguzi wa mwaka 2022, akileta Pamoja kikosi cha mawakili wasiopungua 8 tajika na wenye tajriba kumenyana na wale wa bunge la kaunti ya Nyamira.

Wakili Elias Mutuma ataongoza mawakili wanaomwakilisha gavana huyo anapojitetea dhidi ya tuhuma za matumizi mabaya ya afisi, huku Katwa Kigen akiwaongoza mawakili wa bunge hilo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MAKABILIANO YA KISHERIA SENETI

RUTO NJIANI KUELEKEA MAREKANI

MAKABILIANO YA KISHERIA SENETI

MURKOMEN AFICHUA CHANGAMOTO ZA USALAMA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *