#Local News

RUTO KUONGOZA JAMHURI

Rais WIlliam Ruto ameratibiwa kuliongoza taifa kwa maadhimisho ya 62 ya Jamhuri katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi, Msemaji wa serikali Isaac Mwaura, akiwahimiza wakenya kujitokoeza kwa wingi kuhudhuria maadhimisho hayo ya kila mwaka.

Haya yanajiri huku muungano wa upinzani ukiikosoa serikali kwa kile walichotaja kama kurejesha nyuma hatua zilizopigwa kuhusiana na uongozi bora.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RUTO KUONGOZA JAMHURI

TSC: WALIMU TAYARI KWA MPITO

RUTO KUONGOZA JAMHURI

KENYA YAPATA MEDALI ZA KWANZA ANGOLA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *