#Local News

ODM YASISITIZA MGAO WA 50-50

Chama cha ODM kimesisitiza kuwa mazungumzo ya ushirikiano na chama cha UDA kuelekea uchaguzi mkuu ujao yatahusisha kugawana mamlaka sawa, na kwamba hakitakubali kuingia kwenye ushirikiano huo bila makubaliano ya kuwa na hisa sawa.

Kulingana na na mwenyekiti wa kitaifa wa chama hicho Gladys Wanga, ODM itaendelea kuimarisha msingi wake kote nchini, ikiwemo kuwawasilisha wagombea wa nyadhifa zote katika kaunti ya Nairobi kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Aidha, wamesisitiza fidia kwa waathiriwa wa maandamano.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

ODM YASISITIZA MGAO WA 50-50

GOR MAHIA WATISHIA WAPINZANI WA KICHAPO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *