#Local News

UVAMIZI KANISANI: UPINZANI WATISHIA MAANDAMANO

Wakati uo huo, viongozi wa upinzani wametishia kuitisha maandamano ya kitaifa iwapo waliohusika kupanga na kutekeleza mashambulizi dhidi ya aliyekuwa naibu Rais Rigathi Gachagua kwenye kanisa moja kaunti ya Nyeri hawatakamatwa.

Viongozi hao akiwemo Gachagua, kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka, Eugene Wamalwa wa DAP-K, Martha Karua wa PLP na naibu kinara wa Jubilee Fred Matiang’i, wametoa makataa ya siku 14 kwa polisi kuendesha msako na kuwakamata waliohusika na vurugu hizo wiki iliyopita.

Wametishia kuwasilisha malalamishi katika mahakama ya ICC.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

UVAMIZI KANISANI: UPINZANI WATISHIA MAANDAMANO

RUTO AAMURU POLISI KULINDA MAKANISA

UVAMIZI KANISANI: UPINZANI WATISHIA MAANDAMANO

ODM YASISITIZA MGAO WA 50-50

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *